*Matokeo ya Kihistoria yenye kugusa maisha ya watu, jamii na uchumi
Tunawashukuru wateja wetu, wanahisa, wafanyakazi, washirika wote wa Benki, Serikali kupitia Benki Kuu na Watanzania wote kwa mchango wenu thabiti na imani mliyonayo kwa Benki ya NMB.
Ahsante kwa kuendelea kutuamini.
#NMBKaribuYako






No comments:
Post a Comment