TANNA WATOA MKONO WA POLE HANANG - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 23 December 2023

TANNA WATOA MKONO WA POLE HANANG

 Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa mkono wa pole wa vifaa vya ujenzi  kwa waathirika wa mvua ya mafuriko iliyoambatana na maporomoko ya tope Wilayani Hanang Mkoani Manyara.

Makamu wa Rais wa Chama  TANNA  JANE BARARUKULULIZA amesema vifaa vya ujenzi vilivyokabidhiwa ni pamoja na mifuko  120 ya saruji, bati vyenye thamani ya Tsh. Milioni sita,laki mbi na elfu themanini(Tsh. 6,280,000) huku wakitembelea na kutoa mkono wa pole pia kwa Muuguzi Pendo Sephania aliyepoteza ndugu zake watano .

“Mkono wetu wa pole upo katika maeneo makuu mawili, tuna mkono wa pole ambao ni fedha tasilimu tunazowapa wauguzi wetu, tuna milioni moja na nusu tunampa Pendo Rajab ambaye amepoteza wanafamilia watano na tuna Tsh.laki tano ambayo tunampa Pendaeli  ambaye amepoteza nyumba na mali zilizokuwa ndani, lakini kama Wauguzi watanzania ni sehemu ya Watanzania kwa hiyo kama uongozi tunaungana kwa pamoja na kumshika mkono Rais wetu Dkt. Samia Suluhu Hassan tumetoa mchango utakaogusa 

No comments:

Post a Comment