Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama kwa ajili ya heshima ya Wimbo wa Taifa katika Sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023. |
Kikundi cha ngoma kutoka Lusaka kikitumbuiza katika Sherehe za miaka 59 ya Uhuru wa Taifa la Zambia katika viwanja vya Ikulu ya Nchi hiyo tarehe 24 Oktoba, 2023. |
No comments:
Post a Comment