RC CHALAMILA AFUNGA MAADHIMISHO YA 20 YA SIKU YA WAHANDISI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 16 September 2023

RC CHALAMILA AFUNGA MAADHIMISHO YA 20 YA SIKU YA WAHANDISI

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila akifunga rasmi Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila (wa pili kushoto) akitoa zawadi kwa baadhi ya washindi wa maonesho ya huduma na vifaa vya kihandisi yaliyofanyika nje ya Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Msajili wa Bodi ya Wahandisi (ERB), Eng. Bernard Kavishe akizungumza kwenye hafla ya ufungaji rasmi wa Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.


Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Wakili Menye Manga (wa pili kushoto) akimkabidhi zawadi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe Albert Chalamila katika hafla ya Ufungaji wa Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.


Viongozi mbalimbali na washiriki katika Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Wakili Menye Manga akizungumza kwenye hafla ya ufungaji rasmi Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Wahandisi wapya wakila kiapo mbele ya washiriki wa mkutano wa Maadhimisho ya 20 ya Siku ya Wahandisi Nchini yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment