MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU AGRF-AFRIKA FOOD SYSTEMS SUMMIT 2023 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 3 September 2023

MKUTANO NA WAHARIRI WA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU AGRF-AFRIKA FOOD SYSTEMS SUMMIT 2023

Wahariri pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Kikao kuhusu Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023. Mkutano huo wa Chakula unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza na Viongozi pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari kuhusiana na Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF-Afrika Food Systems Summit 2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Septemba, 2023. Mkutano huo wa Mifumo ya Chakula Afrika unatarajiwa kufanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 05 -8 Septemba 2023.

No comments:

Post a Comment