SHAMRASHAMRA ZA USIKU WA RAIS SAMIA TAMASHA LA KIZIMKAZI, PAJE ZANZIBAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 31 August 2023

SHAMRASHAMRA ZA USIKU WA RAIS SAMIA TAMASHA LA KIZIMKAZI, PAJE ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Tawi la Benki ya NMB Paje katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje, Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kadi ya ZATO Prepaid Card kutoka kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Bi. Ruth Zaipuna mara baada ya kuzindua Tawi la Benki hiyo lililopo Paje katika shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia), Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Shamrashamra za Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) lililofanyika Paje, Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Wasanii mbalimbali wakitumbuiza katika Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) lililofanyika Paje, Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akielekea Jukwaa Kuu kwa ajili ya kuhudhuria Tamasha la Kizimkazi (Usiku wa Samia) Paje Zanzibar tarehe 30 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment