CHONGOLO ATINGA KIGOMA KUELEZEA FAIDA LUKUKI UWEKEZAJI WA BANDARI...! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 26 July 2023

CHONGOLO ATINGA KIGOMA KUELEZEA FAIDA LUKUKI UWEKEZAJI WA BANDARI...!

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akilakiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kigoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akilakiwa na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kigoma.

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, CCM, Komredi Daniel Chongolo akilakiwa na viongozi baada ya kuwasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa  Kigoma tayari kwa mkutano wa hadhara wa kuielimisha jamii kuhusu usahihi wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Tayari elimu hiyo imeshatolewa na CCM katika Kanda za Nyanda za Juu Kusini, Kanda ya Kusini, Kanda ya Kaskazini, Kanda ya Kati na Kanda ya Magharibi. Chongolo alipowasili mjini Kigoma amepokelewa na mabango yenye ujumbe mbalimbali wa kuunga mkono uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam.

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akiwasili mkoani Kigoma.

Mabango yenye jumbe mbalimbali yakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akiwasili mkoani Kigoma.

Mabango yenye jumbe mbalimbali yakimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akiwasili mkoani Kigoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akisalimiana na viongozi mbalimbali wa CCM mara baada ya kuwasili Mkoani Kigoma tayari kwa ziara yake.

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akiwasili mkoani Kigoma.

Mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akiwasili mkoani Kigoma.

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili  kwenye Uwanja wa Ndege wa Kigoma.

No comments:

Post a Comment