WAZIRI PROF. MBARAWA AWAPONGEZA SCANIA KWA KUTIMIZA MIAKA 50 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 4 June 2023

WAZIRI PROF. MBARAWA AWAPONGEZA SCANIA KWA KUTIMIZA MIAKA 50

 

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akigonga glass na wadau wa Kampuni ya magari aina ya Scania wakati wa  maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akizungumza na wadau wa magari aina ya Scania wakati wa maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni hiyo yaliyofanyika  jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akimsikiliza Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Mhe. Charlotta Ozaki Macias (kulia), kuhusu kampuni ya magari aina ya Scania, wakati Waziri huyo alipokuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 50 ya kampuni hiyo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment