RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA, TNBC) IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Saturday, 10 June 2023

RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA 14 WA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA, TNBC) IKULU JIJINI DAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara  (TNBC) akishiriki kwenye Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara  (TNBC) akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Viongozi mbalimbali, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara  (TNBC) akishiriki kwenye Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Juni, 2023.

No comments:

Post a Comment