RAIS SAMIA KATIKA KIKAO MAALUM NA WATENDAJI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO…! - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 19 May 2023

RAIS SAMIA KATIKA KIKAO MAALUM NA WATENDAJI WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO…!

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Kikao Maalum na Watendaji mbalimbali wa Wizara ya Fedha na Mipango wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara wakiongozwa na Waziri wake Dkt. Ashatu Kijaji, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakiongozwa na Kamishna Mkuu Alphayo Kidata pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Moses Kusiluka. Kikao hicho kimefanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2023.

No comments:

Post a Comment