
Mkurugenzi wa Usimamizi wa Rasilimali watu na Utawala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) Dkt. Elephas Mollel akikabidhi zawadi kutoka DART kwa Father Vicent Boselli wa kijiji cha Matumaini kilichopo Kisasa jijini Dodoma wakati waandishi wa habari washiriki wa semina iliyoandaliwa na taasisi DART iliyoandaliwa na kufanyika Dodoma kwa wiki moja walipoenda kutoa msaada wa vyakula na vifaa mbalimbali kwa ajili ya watoto wanaolelewa katika kituo hicho katikati ni Sister Mari Rosalia Gargulo wa kijiji cha Matumaini mwishoni mwa wiki Mei 19,2023






Baadhi ya maofisa wa DART na waandishi wa habari waksikilia maeleo ya Father Vicent Boselli.
No comments:
Post a Comment