WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YAWASILISHA MUUNDO NA MAJUKUMU YAKE KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Saturday, 11 March 2023

demo-image

WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI YAWASILISHA MUUNDO NA MAJUKUMU YAKE KWA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU

 

2
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi (Ujenzi), Eng. Godfrey Kasekenya  akifafanua jambo wakati wa kikao kilichokuwakutanisha wajumbe wa Kamati Kudumu ya Bunge ya Miundombinu pamoja na watendaji wa Wizara hiyo kujadili kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara Bungeni, jijini Dodoma.

1
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mheshimiwa Selemani Kakoso, akizungumza katika kikao kilichokuwakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo pamoja na watendaji wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kujadili kuhusu Muundo na Majukumu ya Wizara Bungeni, jijini Dodoma.

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *