PROF. MBARAWA ASHIRIKI MKUTANO WA WADAU WA BIASHARA TANZANIA NA EU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 23 February 2023

PROF. MBARAWA ASHIRIKI MKUTANO WA WADAU WA BIASHARA TANZANIA NA EU

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akionesha moja ya mkataba wa makubaliano ya uboreshaji wa miundombinu hapa nchini baina ya Tanzania na Wawekezaji kutoka nchi za Umoja wa Ulaya (EU) katika Jukwaa la Kwanza la Biashara na Uwekezaji liliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros (kushoto), akizungumza jambo na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji, Jestas Nyamanga akifuatilia.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kulia) akiteta jambo na mmoja wa wajumbe kutoka Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa pamoja na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo yaliofanyika pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa (kushoto mbele) akiwa katika kikao na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros (mbele) pamoja na wajumbe wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB) na wataalam wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi  pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akiteta jambo na Makamu wa Rais wa Benki ya Uwekezaji ya Ulaya (EIB), Bw. Thomas Ostros pembezoni mwa mkutano wa Biashara kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julias Nyerere jijini Dar es Salaam leo.
Imetolewa na Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.

No comments:

Post a Comment