KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAPOKEA TAARIFA YA MIRADI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) NA KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI (MSCL) JIJINI DODOMA. - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 26 October 2022

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAPOKEA TAARIFA YA MIRADI YA MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI TANZANIA (TPA) NA KAMPUNI YA HUDUMA ZA MELI (MSCL) JIJINI DODOMA.

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Anne Kilango.
 
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Anne Kilango akitoa maelekezo kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (Mscl), jijini Dodoma.



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) Eric Hamissi akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya taasisi hiyo, jijini Dodoma.

Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia wasilisho la taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) iliyowasilishwa kwao, jijini Dodoma.

Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Juma Kijavara akitoa ufafanuzi wa hoja mbalimbali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka hiyo, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akizungumza na Katibu Mkuu wa Uchukuzi Gabriel Migire kabla ya kuwasilishwa taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma Za Meli (MSCL) kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Atupele Mwakibete akiwasilisha taarifa ya awali kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakati kamati hiyo ilipopokea taarifa ya miradi ya maendeleo ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Anne Kilango.

No comments:

Post a Comment