KAMATI YA BUNGE LA MIUNDOMBINU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 24 October 2022

KAMATI YA BUNGE LA MIUNDOMBINU

 

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), bwana Lazaro Kilahala akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakati Wakala huo ulipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa miradi kwa mwaka 2022/23 kwa kamati hiyo jijini Dodoma.

Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, wakifuatilia taarifa ya utendaji wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), iliyowasilishwa kwao na Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya akitoa taarifa ya utendaji wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), na Wakala wa Ufundi na Umeme Tanzania (TEMESA), kwa kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu, jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment