RAIS SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO SIKUKUU YA WAKULIMA NANENANE KITAIFA MKOANI MBEYA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 8 August 2022

RAIS SAMIA AHUTUBIA KILELE CHA MAADHIMISHO SIKUKUU YA WAKULIMA NANENANE KITAIFA MKOANI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilihutubia Taifa kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikabidhi mfano wa funguo za Trekta kwa ajili ya wakulima bora ambao wamepewa zawadi kutokana na mafanikio waliyopata katika kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi Mfumo wa ruzuku ya Mbolea mara baada ya kutembelea Mabanda na kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na wadau wa Kilimo kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua na kuangalia vifaa mbalimbali vya shughuli za ufugaji wa ng’ombe vilivyopo katika banda la Asas kwenye  kilele cha Maadhimisho  ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia uzalishaji wa miche pamoja na bidhaa mbalimbali zitokanazo na kilimo wakati alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) na Banda la Taasisi ya Kudhibiti Ubora wa mbegu Tanzania (TOSCI)  kwenye kilele cha Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa ambayo imefanyika katika Viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2022.

No comments:

Post a Comment