BURUNDI YATWAA UENYEKITI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, EAC - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday, 22 July 2022

BURUNDI YATWAA UENYEKITI JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI, EAC

Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuchaguliwa katika Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC tarehe 22 Julai, 2022.

Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta akimkabidhi nafasi ya uenyekiti Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuchaguliwa katika Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC tarehe 22 Julai, 2022.

Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye akizungumza mara baada ya kuchaguliwa katika siku ya mwisho ya Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC tarehe 22 Julai, 2022.

Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) aliyemaliza muda wake Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta akimpongeza Mwenyekiti mpya wa Jumuiya hiyo Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye mara baada ya kuchaguliwa katika Mkutano wa 22 wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha AICC tarehe 22 Julai, 2022.


No comments:

Post a Comment