RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA OMAN, ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI MIKATABA YA USHIRIKIANO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 13 June 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA KATIKA KONGAMANO LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA OMAN, ASHUHUDIA UWEKAJI SAINI MIKATABA YA USHIRIKIANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman wakati alipotembelea Kituo hicho tarehe 13 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo wakati alipotembelea Kituo cha Saratani cha Dar Al Hanan kilichopo Muscat nchini Oman tarehe 13 Juni, 2022.

Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Oman pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Biashara lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022. PICHA NA IKULU.

Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Oman pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Biashara lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022. PICHA NA IKULU

Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Oman pamoja na Wakuu wa Taasisi mbalimbali wakiwa katika Kongamano la Biashara lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Oman lililofanyika katika eneo la Kasri ya Al Bustan Muscat nchini humo tarehe 13 Juni, 2022.

No comments:

Post a Comment