RAIS SAMIA AMUAPISHA JENERALI JACOB MKUNDA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI (CHIEF OF DEFENSE FORCES-CDF) IKULU JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday, 30 June 2022

RAIS SAMIA AMUAPISHA JENERALI JACOB MKUNDA KUWA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI (CHIEF OF DEFENSE FORCES-CDF) IKULU JIJINI DAR


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Cheo kipya cha Jenerali Jacob John Mkunda kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff -C of S) Luteni Jenerali Salum Haji Othman katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio la Uapisho wa Mkuu wa Majeshi pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lililofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Cheo kipya cha Luteni Jenerali Salum Haji Othman kabla ya kumuapisha kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (Chief of Staff -C of S) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Tanzania (Chief of Defense Forces-CDF) Jenerali Jacob John Mkunda mara baada ya hafla ya uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


Viongozi mbalimbali waliohudhuria tukio la Uapisho wa Mkuu wa Majeshi pamoja na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lililofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2022.


No comments:

Post a Comment