RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Thursday 19 May 2022

RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA TABORA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani Tabora kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi wa Mkoa huo 19 Mei, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Mkoa na Chama cha Mapinduzi CCM katika uwanja wa Ndege wa Tabora mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku tatu mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022.

Kikundi cha burudani cha kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma kikitumbuiza katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Mkoani Tabora, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022.

Sehemu ya viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

Sehemu ya Wananchi pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

Sehemu ya viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Tabora waliohudhuria Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohitimisha ziara yake ya Siku tatu Mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Tabora katika Mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Ali Hassan Mwinyi mkoani humo tarehe 19 Mei, 2022.

No comments:

Post a Comment