Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Abdulrahman Kinana akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama hicho Daniel Chongolo katika Kikao cha pamoja na Wajumbe wa CHADEMA, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma. |
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe, na Baadhi ya Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya CHADEMA wakiwa katika kikao hicho cha pamoja Ikulu Chamwino tarehe 20 Mei, 2022. |
Baadhi ya Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya CHADEMA wakiwa katika kikao hicho cha pamoja Ikulu Chamwino tarehe 20 Mei, 2022. |
Baadhi ya Wajumbe wengine wa Kamati Kuu ya CHADEMA wakiwa katika kikao hicho cha pamoja Ikulu Chamwino tarehe 20 Mei, 2022. |
No comments:
Post a Comment