CHANDE AZINDUA KANUNI ZA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WAZABUNI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Tuesday 31 May 2022

CHANDE AZINDUA KANUNI ZA MAADILI KWA WATUMISHI WA UMMA NA WAZABUNI

Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Lawrence Mafuru kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za ununuzi wa umma leo tarehe 31 Mei 2022 katika Ukumbi wa Kambarage Jijini Dodoma.


 


Kamishna wa Idara ya Sera za Ununuzi  wa Umma kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Fredrick Mwakibinga akimkabidhi  Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Emanuel Tutuba kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za ununuzi wa umma leo tarehe 31 Mei 2022 katika Ukumbi wa Kambarage Jijini Dodoma

Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Mhe. Hamad Hassan Chande akibonyeza kitufe kuzindua kanuni za maadili kwa watumishi wa umma na wazabuni wanaoshiriki katika shughuli za ununuzi wa umma leo tarehe 31 Mei 2022 katika Ukumbi wa Kambarage Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment