NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AFUNGUA BARAZA LA 27 LA WAFANYAKAZI WA TAA JIJINI DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 21 March 2022

NAIBU WAZIRI MWAKIBETE AFUNGUA BARAZA LA 27 LA WAFANYAKAZI WA TAA JIJINI DODOMA

 

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA), Hamisi Amiri akizungumza na Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Atupele Mwakibete, mara baada ya kufungua baraza la 27 la Mamlaka hiyo lililofanyika jijini Dodoma.

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Atupele Mwakibete akisisitiza jambo kwa wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania (TAA) hawapo pichani wakati alipofungua baraza la 27 la  Mamlaka hiyo, lililofanyika jijini Dodoma.

Naibu Waziri w Ujenzi na Uchukuzi-Uchukuzi, Atupele Mwakibete akiimba wimbo wa mshikamano wakati alipofungua baraza la 27 la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA), lililofanyika jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment