MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday, 21 March 2022

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Chalinze mkoani Pwani katika Mkutano uliofanyika Viwanja vya Polisi Chalinze Mkoani Pwani mara baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga leo tarehe 22 Machi 2022.

Wananchi wa mkoa wa Pwani wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokua akizungumza nao kwenye Mkutano baada ya kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiondoa Kitambaa kuzindua mradi wa maji wa Mlandizi-Chalinze-Mboga katika tukio lililofanyika Chalinze mkoani Pwani leo tarehe 22 Machi 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022.

No comments:

Post a Comment