RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MASOUD OTHMAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 26 January 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR, MASOUD OTHMAN, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Januari, 2022.

No comments:

Post a Comment