RAIS MHE. SAMIA HASSAN ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA IKULU, DODOMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday, 27 January 2022

RAIS MHE. SAMIA HASSAN ASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA IKULU, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na keki yake kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata keki kama ishara ya kusherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa leo tarehe 27 Januari, 2022 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

No comments:

Post a Comment