MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO AFRIKA BADEA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 5 October 2021

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO AFRIKA BADEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 05 Oktoba 2021 amekutana na kuzungumza na baadhi ya Mawaziri akiwemo Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Tamisemi Mhe. Ummy Mwalimu, Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Profesa Kitila Mkumbo, Waziri wa Nishati Mhe. Januari Makamba pamoja na baadhi ya Watendaji wa Taasisi mbalimbali za  Serikali, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021.

No comments:

Post a Comment