MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA MAADHIMIASHI WA WIKI YA UWT RUFIJI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday 24 October 2021

MHE. RAIS SAMIA AHUTUBIA MAADHIMIASHI WA WIKI YA UWT RUFIJI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT. Maadhimisho hayo yamefanyika leo tarehe 23 Oktoba, 2021  katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, hayupo pichani akipokea maandamano  katika  Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT. Maadhimisho hayo yamefanyika leo tarehe 23 Oktoba, 2021  katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika maandamano  kwenye Maadhimisho ya Kilele  cha Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) iliyoambatana na kumbukizi ya Kumuezi Bibi Titi Mohammed Mwenyekiti wa kwanza wa UWT. Maadhimisho yamefanyika leo tarehe 23 Oktoba, 2021  katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mara baada ya kuwasili  katika Uwanja wa Ujamaa Umwe Kusini Ikwiriri Wilayani Rufiji Mkoani Pwani kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Wiki ya Umoja wa Wanawake Tanzania UWT leo tarehe 23 Oktoba, 2021.

No comments:

Post a Comment