MHE. RAIS AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KARATU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Monday 6 September 2021

MHE. RAIS AKISALIMIANA NA WANANCHI WA KARATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi wa Karatu Mkoani Arusha leo Sept 06,2021 alipokua njiani akielekea Ngorongoro kwa ajili kurekodi kipindi maarufu cha Royal Tour kitakachotangaza Utalii, Biashara na Uwekezaji Nchini. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment