RAIS APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU 2020 - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 21 August 2021

RAIS APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU 2020

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2020 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, katika halfla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 21,2021. Rais aliipongeza Tume kwa kuratibu na kusimamia uchaguzi huo Mkuu wa mwaka 2020 kwa ufanisi mkuu. (Picha na NEC).

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. Kutoka kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango. (Picha na NEC). 

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. (Picha na NEC). 

No comments:

Post a Comment