RAIS MHE. SAMIA AWASALIMIA WANANCHI WA KIBAIGWA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Wednesday 7 July 2021

RAIS MHE. SAMIA AWASALIMIA WANANCHI WA KIBAIGWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Kibaigwa mkoani Dodoma wakati akiwa safarini kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili  leo tarehe 07 Julai, 2021. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment