MHE. RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS TSHISEKEDI WA CONGO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Friday 30 July 2021

MHE. RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS TSHISEKEDI WA CONGO

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi ulioongozwa na Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, ulipowasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30  Julai, 2021. Picha na Ikulu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye  ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30 Julai, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkaribisha Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Antoine Tshisekedi, ambaye  ni Waziri wa Fedha wa Nchi hiyo Mhe. Nicolas Kazadi Kadino, mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 30  Julai, 2021.

No comments:

Post a Comment