HESLB YASHIRIKI MAONESHO YA 45 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Tuesday 6 July 2021

HESLB YASHIRIKI MAONESHO YA 45 YA BIASHARA YA KIMATAIFA DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mawasiliano wa HESLB, Jacqueline Msuya wakati alipotembelea banda la HESLB katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

Afisa Mikopo Mwandamizi wa HESLB, Mchunga Simba akitoa ufafanuzi kwa wateja waliotembelea banda la HESLB katika katika maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere.

No comments:

Post a Comment