WAZIRI MOHAMED MCHENGERWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday 5 June 2021

WAZIRI MOHAMED MCHENGERWA MGENI RASMI MAHAFALI YA 33 YA CHUO CHA UTUMISHI WA UMMA

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa kushoto akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi  wa Umma, Dkt. Florence Turuka wakati wa Mahamali ya 33 ya chuo hicho yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021 (kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Emmanuel Suleimani.

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiongoza maandamano ya Wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya 33 Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika  katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021.

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa, akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Florence Turuka  akizungumza na wahitimu wa kozi mbalimbali katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021.


Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021.

Baadhi wa wahitimu wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021.

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Florence Turuka kulia akimkabidhi zawadi Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed kushoto Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma, Dkt. Emmanuel Suleimani.

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Chuo cha Utumishi wa Umma wakiwa katika mahafali ya 33 yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5,2021.

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti wa Utumishi wa Umma, Mohamed Mchengerwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi wa wahitimu wa kozi mbalimbali katika mahafali ya 33 Chuo cha Utumishi  wa Umma yaliyofanyika  katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021.


Sehemu ya wageni mbalimbali wakiwa katika Mahafali ya 33 ya Chuo cha Utumishi wa Umma yaliyofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Juni 5, 2021(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).


      Kwaya ya Chuo cha Utumishi wa Umma wakitoa burudani.

No comments:

Post a Comment