RAIS MHE. SAMIA HASSAN AMKABIDHI NYUMBA MPYA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 9 May 2021

RAIS MHE. SAMIA HASSAN AMKABIDHI NYUMBA MPYA RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE KWA MUJIBU WA SHERIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria leo tarehe 09 Mei, 2021.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa sheria leo tarehe 09 Mei, 2021.

No comments:

Post a Comment