NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA TIGO KATIKA MAONESHO YA KITAIFA YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Friday 7 May 2021

NDALICHAKO ATEMBELEA BANDA LA TIGO KATIKA MAONESHO YA KITAIFA YA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako  akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Tigo kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu ya  TIgo mapema leo alipotembelea banda la tigo katika maonesho ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu(makisatu 2021) katika viwanja vya jamhuri Jijini Dodoma.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako  akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Tigo kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu ya  TIgo mapema leo alipotembelea banda la tigo katika maonesho ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu(makisatu 2021) katika viwanja vya jamhuri Jijini Dodoma .

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Joyce Ndalichako  akipata maelezo kutoka kwa maafisa wa Tigo kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni ya simu ya  TIgo mapema leo alipotembelea banda la tigo katika maonesho ya kitaifa ya sayansi, teknolojia na ubunifu(makisatu 2021) katika viwanja vya jamhuri Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment