NAIBU WAZIRI UJENZI NA UCHUKUZI, MHE. WAITARA AKIKAGUA UBORESHAJI MIUNDOMBINU BANDARI MTWARA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 8 May 2021

NAIBU WAZIRI UJENZI NA UCHUKUZI, MHE. WAITARA AKIKAGUA UBORESHAJI MIUNDOMBINU BANDARI MTWARA

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara (katikati) akitoa maelekezo alipokuwa akikagua uboreshaji wa miundombinu ya Bandari Mtwara katika ziara yake.  Hata hivyo ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)  kutafuta wasafirishaji watakaoitumia bandari hiyo kikamilifu.

 

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara (wa pili kushoto) akikagua uboreshaji wa miundombinu ya Bandari Mtwara na kuridhika na hatua iliyofikiwa.  Hata hivyo katika ziara hiyo ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)  kutafuta wasafirishaji watakaoitumia bandari hiyo kikamilifu.



Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara akikagua uboreshaji wa miundombinu ya Bandari Mtwara katika ziara yake. 



Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara akitoa maelekezo alipokuwa akikagua uboreshaji wa miundombinu ya Bandari Mtwara katika ziara yake.  Hata hivyo ameitaka Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)  kutafuta wasafirishaji watakaoitumia bandari hiyo kikamilifu.



Muonekano wa Bandari ya Mtwara mara baada ya uboreshaji wa miundombinu katika bandari hiyo.  



Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Mwita Waitara (mstari wa mbele katikati) akikagua uboreshaji wa miundombinu ya Bandari Mtwara.



Muonekano wa Bandari ya Mtwara mara baada ya uboreshaji wa miundombinu katika bandari hiyo.  

No comments:

Post a Comment