WABUNGE WAMLILIA JPM VIWANJA VYA BUNGENI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 22 March 2021

WABUNGE WAMLILIA JPM VIWANJA VYA BUNGENI

 

Mbunge wa Momba Condester Sichalwe akilia kwa uchungu mara baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.



Mbunge akilia kwa uchungu mara baada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.



Wabunge mbalimbali  waliohudhuria hafla ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati, Dkt John Pombe Magufuli wakifuatilia hotuba mbalimbali katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma.



Wabunge mbalimbali  waliohudhuria hafla ya kumuaga aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli wakifuatilia hotuba mbalimbali katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.



Watumishi wa Bunge wakiwa katika viwanja vya Bunge tayari kuuga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Leo Jijini Dodoma. Picha zote na Daudi Manongi MAELEZO

Mwili wa aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hayati Dkt John Pombe Magufuli ukitolewa katika viwanja vya Bunge kuelekea Uwanja wa Jamhuri kwa ajili ya Kuagwa kitaifa.

No comments:

Post a Comment