Wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD), wakiwa na bidhaa mbalimbali mbele ya jengo la Taasisi ya Saratani ya Ocean Road. |
Wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD), wakiwa katika picha ya pamoja. |
Wanawake wa Bohari ya Dawa (MSD), wakikabidhi msaada huo.
Msaada huo ukikabidhiwa.
Na Mwandishi Wetu
WANAWAKE wa Bohari ya Dawa (MSD) wameungana na wanawake wengine duniani kuadhimisha siku ya wanwake Duniani kwa mwaka 2021 kwa kuwametembelea wanawake waliolazwa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road na kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali.
Aidha wanawake hao wameketi pamoja kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili maeneo yao ya kazi na kwenye jamii ili kuweza kuyapatia utatuzi.
No comments:
Post a Comment