Actionaid YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HAKI NA UHUSIANO MAHALA PA KAZI - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 13 March 2021

Actionaid YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU HAKI NA UHUSIANO MAHALA PA KAZI

Aneny Nahum Wakili wa kujitegemea akiwasilisha mada kuhusu  Haki na uhusiano wa wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini. Semina hiyo inaendelea  kwenye hoteli ya Coral Beach Masaki Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam, Semina hiyo imeandaliwa na Shirika lilisilokuwa la Kiserikali la Actionaid.

Amne Manangwa Meneja Miradi ya Wanawake shirika la Actionaid akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika semina kuhusu  Haki na uhusiano ya wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini. Semina hiyo inaendelea  kwenye hoteli ya Coral Beach Masaki Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es salaam leo Jumamosi 13, 2021, Semina hiyo imeandaliwa na Shirika lilisilokuwa la Kiserikali la Actionaid.

Amne Manangwa Meneja Miradi ya Wanawake shirika la Actionaid akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali katika semina kuhusu  Haki na uhusiano ya wafanyakazi mahala pa kazi ambayo ni Shera namba 6 ya mwaka 2004 sura namba 366 iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 kwa waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini.

Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa semina hiyo.

Baadhi ya waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakati wa semina hiyo inayoendelea kwenye hoteli ya Coral Beach Manispaa ya Kinondoni Dar es salaam.

Bi. Fransisca Camilius Clement Mratibu wa Chama cha Wafanyakazi wa Hifadhi,Mahoteli, Majumbani na Kazi Nyinginezo Zanzibar CHODAWU- Z akiuliza swali wakati semina hiyo ikiendelea kulia ni Emmanuel Mabodo Afisa Mradi Shirika la Actionaid.

 

Emmanuel Mabodo Afisa Mradi Shirika la Actionaid akifuatilia mada katika semina hiyo inayoendelea kwenye hoteli ya Coral Beach.

No comments:

Post a Comment