RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya

Thursday 11 February 2021

RAIS DK MAGUFULI AFUNGUA SOKO KUU LA MKOA WA MOROGORO

Soko Kuu la mkoa wa Morogoro kama linavyoonekana mara baada ya kufunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 11 Februari 2021. PICHA NA IKULU.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali wa Soko Kuu la mkoa wa Morogoro ili kujua changamoto zao mara baada ya kulifungua Soko hilo katika Manispaa ya Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro pamoja na Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi, Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mbunge wa Morogoro mjini Aziz Abood pamoja na viongozi wengine wa mkoa wa Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare wakati akivuta utepe kufungua Soko Kuu la Morogoro (Morogoro Central Market) leo tarehe 11 Februari 2021 mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment