KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NAUCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA UJENZI DARAJA JIPYA LA SELANDER JIJINI DAR ES SALAAM - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Monday, 22 February 2021

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NAUCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA UJENZI DARAJA JIPYA LA SELANDER JIJINI DAR ES SALAAM

 

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (wa pili kulia) akikagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam leo, Wengine ni wataalam toka Wizara ya Ujenzi na wasimamizi wa mradi huo.


Kazi ya usafishaji wa Daraja la Jangwani na mto Msimbazi ikiendelea jijini Dar es Salaam. 


Muonekano wa Mto Msimbazi mbele ya daraja la jangwani  ambao usafishaji wake kutoa tope unaenelea.

Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda (kushoto) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu Sekta ya Ujenzi, Arch. Elius Mwakalinga alipokagua kazi ya kuchimbua tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mhadishi Heriel Samwel.

 Muonekano wa juu wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (wa tatu kulia) akitoa maelekezo kwa  wataalam toka Wizara ya Ujenzi na wasimamizi mara baada ya kukagua ujenzi wa Daraja Jipya la Selander jijini Dar es Salaam.

Muonekano wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.


Muonekano wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.


Muonekano wa Daraja Jipya la Selander  jijini Dar es Salaam ambalo ujenzi wake unaendelea.



No comments:

Post a Comment