KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA KAZI YA UCHIMBUAJI TOPE DARAJA LA JANGWANI JIJINI DAR - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 21 February 2021

KATIBU MKUU WIZARA YA UJENZI NA UCHUKUZI ARCH. MWAKALINGA AKAGUA KAZI YA UCHIMBUAJI TOPE DARAJA LA JANGWANI JIJINI DAR

 

Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda (wa kwanza kulia) akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga kazi inavyoendelea eneo la Daraja la Jangani.


Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony Mweladzi akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga (wa pili kushoto) kazi inavyoendelea eneo la daraja la Jangwani. Wa pili kulia ni Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akitoa maelekezo mara baada ya kukagua zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akiwapongeza baadhi ya wafanyakazi wanaoendesha zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam.


Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony Mweladzi (kulia) akifafanua jambo kwa  Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga alipokagua maendeleo ya zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao. Kushoto ni Mhandisi kutoka Wizara ya Ujenzi, Hashim Kabanda.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony Mweladzi mara baada ya kukagua zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao.


Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akitoa maelekezo kwa watendaji mara baada ya kukagua zoezi la uchimbuaji tope katika Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao.


Muonekano wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ambalo kazi ya uchimbuaji tope ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao. 


No comments:

Post a Comment