WASHINDI WA DROO YA KWANZA YA PATA PATA NA TIGOPESA WANYAKUA MILIONI 5 KILA MMOJA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Saturday, 2 January 2021

WASHINDI WA DROO YA KWANZA YA PATA PATA NA TIGOPESA WANYAKUA MILIONI 5 KILA MMOJA

Mshindi wa kwanza #PataPataNaTigoPesa atokea Dodoma: “Mathias January ndiye mshindi wetu wa milioni 5” Lumuliko Mengele-Meneja utendaji wa The Network Limited


 FUNGA MWAKA NA MILIONI 10 #PataPataNaTigoPesa: Tigo na Kampuni ya The Network yachezesha droo ya washindi Jumla ya Tsh Milioni 10. Washindi wawili kushinda milioni 5 kila mmoja.



SHIRIKI USHINDE: Kushiriki mchezo #PataPataNaTigoPesa, mteja anatakiwa kwenda kwenye menu ya Tigo Pesa na kuchagua namba 4-Lipa bili, halafu anaingia namba 7-Michezo, anachagua namba 1-PataPata, na kuingiza namba za boksi alizochagua kati ya 1 hadi 6, vilevile atakatwa sh. 300. Baada ya hapo atapata majibu kama ameshinda na zawadi yake itaingizwa moja kwa moja kwenye akaunti yake ya Tigo Pesa. #Droo #PataPataNaTigoPesa

No comments:

Post a Comment