WAZIRI BASHUNGWA AWASILI MKOA KAGERA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Wednesday, 30 December 2020

WAZIRI BASHUNGWA AWASILI MKOA KAGERA

 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa (katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto) na Katibu tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof.Faustin Kamuzora (kulia) wakiteta jambo katika ofisi za Mkuu wa mkoa Kagera muda mchache baada ya kuwasili mkoani humo, huku akielekea jimboni Karagwe kwa ziara za mikutano katika kata mbalimbali ikiwa ni safari yake kwanza tangu alipoteuliwa kuwa Waziri wa Wizara hiyo. 30 Disemba 2020.

No comments:

Post a Comment