TIGO YAZIDI KUWAJAZA ZAWADI WATEJA WAKE MSIMU HUU WA SIKUKUU - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.

ASAS GROUP

Habari Mpya

Sunday, 27 December 2020

TIGO YAZIDI KUWAJAZA ZAWADI WATEJA WAKE MSIMU HUU WA SIKUKUU

 Mawakala wakuu wa Tigo wameshinda zawadi kutoka Tigo kupitia kampeni maalum kwa mawakala #WajazeTukujazeTena. Wamewajaza wateja huduma vyema na sasa Tigo imewajaza zawadi. 😋
Hongereni sana na tunatambua mchango wao mkubwa katika

NIMESHINDA SMART TV KWA KUNUNUA Itel T20 TU: Agness John (Dar es salaam) akabidhiwa zawadi ya Smart Tv baada ya kununua simu kutoka Tigo kupitia kampeni ya #JazaTukujazeTena Hata ukinunua simu! Kupitia hii ukinunua simu na kulipa kwa Tigo pesa unapata GB 30 za internet kutumia hadi mwaka mzima! Na kubwa zaidi nafasi ya kushinda Smart Tv pamoja na Piki piki.
Tembelea maduka ya Tigo nchi nzima. Wewe ndiye mshindi unayefuata. Agness John (Dsm)

No comments:

Post a Comment