MOTO WATEKETEZA MADUKA ZAIDI YA 10 KAYANGA KARAGWE - THE HABARII

THE HABARII

HABARI | MATUKIO | MICHEZO.


ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 27 December 2020

MOTO WATEKETEZA MADUKA ZAIDI YA 10 KAYANGA KARAGWE

Moto huo ukiteketeza maduka.

Moto huo ukiteketeza maduka.

MOTO umeunguza maduka zaidi ya 10 na kuteketeza baadhi ya vitu ni katika majengo yanayomilikiwa na familia ya Nekemia Kazimoto (Kazikomu)  yaliyopo Mji wa kayanga mjini, Karagwe, Kagera mkabara na majengo ya city center na Magereza ya kayanga, moto umeibuka saa 5 na dakika 20 usiku  katika moja ya duka la nguo na kusambaa katika maduka mengine ya bidhaa za vyakula, hoteli, stoo za vifaa vya ujenzi, salooni na maduka ya bidhaa mchanganyiko. moto umedumu zaidi masaa manne na chanzo cha moto hakijafahamika mpaka sasa.  Picha na Eliud Rwechungura.

No comments:

Post a Comment