Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.
 |
Add caption
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Malawi zikipigwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akikagua Gwaride la Heshma lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.
Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera akifurahia jambo wakati akiangalia vikundi vya ngoma za asili mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 Jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.
Mama Janeth Magufuli, mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Mama Monica Chakwera, mke wa Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera, akiwa na mkewe Mama Monica Chakwera, walipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu | nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020. |
 |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimtambulisha kwa wakuu wa vyombo vya ulionzi na usalama Rais wa Jamhuri ya Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam tayari kuanza ziara rasmi ya siku tatu nchini leo Jumatano Oktoba 7, 2020.
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpatia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Malawi Mheshimiwa Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 07 Oktoba 2020.
No comments:
Post a Comment