RAIS DKT MAGUFULINA RAIS. MUSEVENI WA UGANDA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZA RASMI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA - THE HABARII

ASAS GROUP

Habari Mpya


Sunday, 13 September 2020

RAIS DKT MAGUFULINA RAIS. MUSEVENI WA UGANDA WATILIANA SAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUANZA RASMI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.

                                    

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakitia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.

                                       

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wakipunga mikono kumuaga Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati akiondoka kurejea nyumbani baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli akimshukuru kwa hotuba nzuri  Rais wa Uganda Mhe. Museveni mara baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.



Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akiongea baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Magufuli akiongea mbele ya mgeni wake Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni mara baada ya kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakishuhudia mawaziri wa Nishati wa nchi zao (Mhe. Mary Goretti Kitutu wa Uganda na Dkt. Medard Kalemani wa Tanzania) wakitia saini mkataba wa kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita Septemba 13, 2020.

No comments:

Post a Comment