MGOMBEA MWENZA NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA JIMBO LA NYASA - THE HABARII
.com/img/a/
ASAS GROUP
.com/img/a/

Thursday, 17 September 2020

demo-image

MGOMBEA MWENZA NA MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA JIMBO LA NYASA

7d993206-335a-47e0-ac8e-6d4adf392875
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli na Mbambabay Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Septemba 17,2020. 

e750721a-793a-44ec-b044-1b45ea2565eb

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi  Jimbo la Nyasa  mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli Wilaya Nyasa Mkoani Ruvuma Septemba 17,2020.            

4a9de7dc-e979-47e3-9148-269282a2a511
Wasanii wa ngoma ya Mganda  ya Utamaduni wa asili ya Wanyasa Wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma wakiburudisha Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa wakati wa kumkaribisha Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipowasili katika Uwanja wa Taifa kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  leo Septemba 17,2020.   

cc83f222-3854-4ea4-b757-479bfc82253e
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa  wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mikutano ya Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Taifa Liuli na Mbambabay Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Septemba 17,2020. 

d8069216-82cf-4ace-ad08-127c26915aa7

d5efc378-8303-41e3-9519-5a42b9c5b611
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mbunge Mteule wa Jimbo la Nyasa Eng. Stela Manyanya  alipowasili katika Uwanja wa Taifa wa Kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba  17,2020.

2e3f31f0-d1ab-47fe-8a9d-e27f8034fcb6

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa  wakimpungia Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia.

115e9239-81e2-4c60-97c8-003d6e355907
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Nyasa alipowasili katika Uwanja wa Taifa wa Kijiji cha Liuli Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba  17,2020.               

Halotel+Mpango+Mzima

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *